Jobs

MARKETING MANAGER

MWANGA COMMUNITY BANK
Deadline: Apr 23, 2014

MEDICAL SALES REPRESENTATIVES (TEN POSTS

DKT INTERNATIONAL
Deadline: May 2, 2014MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII – TENGERU SANJARI NA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WIZARA

MHE. SOFIA SIMBA WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTOWizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto inaadhimisha miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru, ambayo yatafanyika kuanzia tarehe 27 Januari 2014 mpaka tarehe 31 Januari 2014.

Fullshangwe

Read more

Vichwa vya Habari Zaidi

3 months ago

Fullshangwe

WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII, WATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII, RUNGEMBA IRINGA. RUNGEMBA

imageNaibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Chana (mb.) akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba kilichopo Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa,Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii leo wametembelea Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba kilichopo Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa.  Lengo la ziara hii ni kukagua utekelezaji wa shughuli za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto katika utoaji wa Mafunzo ya Maendeleo ya Jamii kupitia chuo hiki. Katika ziara hii, wajumbe wa kamati walipata fursa ya kupokea taarifa ya chuo na kutembelea maeneo / miradi mbalimbali ya chuo. image_1

 

2 months ago

Fullshangwe

KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA NA WATOTO ATAKA WATENDAJI KUWA WABUNIFU

RAS KATI DCDO NA MKUU WA CHUOKatibu Tawala Mkoa wa Katavi Injinia Emmanuel Karobelo Katibu Mkuu wizara ya maendeleo ustawi wa Jamii mama Anna Maembe wakati akikagua eneo la chuo cha maendeleo Msaginya wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani humo anaye mfuatia kushoto kwa Katibu Mkuu ni Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya Nsimbo Alex Magesa Na Mwisho mwenye SUTI YA kijivu ni Mkuu wa Chuo Msaginya Peter Kikunda ambaye ni mwenyeji akiwatembeza wageni.

 

2 months ago

Fullshangwe

KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII AKEMEA DAWA ZA KULEVYA, ASEMA WATANZANIA ZAIDI YA 500 WASHIKILIWA NCHI ZA NJE,WENGINE 100 WASUBIRI KUNYONGWA NCHINI CHINA

Katibu Mkuu Anna Maembe akisalimiana na akina mama wanakikundi cha kutunza Mazingira katika kata ya Matai wilayani Kalambo Mkoani Rukwa jana. PICHA ZOTE NA RAMADHANI JUMAKATIBU Mkuu wa wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto Anna Maembe ametaka vijana vijana nchini kuachana kabisa na biashara ya dawa za kulevya kwani inawasababishia matatizo makubwa katika maisha yao badala yake wajiunge na kutengeneza vikundi vya kijasiriamali ili serikali iweze kuwasaidia kujikwamua kimaisha na kufikia ndoto zao.

 

Share

 

Magazeti Ya Leo

Stay updated, Sign up